Nenda kwa yaliyomo

Achille Locatelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kardinali Achille Locatelli

Achille Locatelli (Seregno, Milano, Italia, 15 Machi 1856Roma, 5 Aprili 1935) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki.

Alifanya kazi katika diplomasia ya Kipapa, ambapo alihudumu kama nunsio katika nchi za Argentina, Paraguay, na Uruguay.[1]

Aliteuliwa kuwa Nunsio nchini Ubelgiji mnamo 8 Julai 1916.[2]

Aliteuliwa kuwa Nunsio nchini Ureno mnamo 18 Julai 1918.

Alipandishwa kuwa kardinali mnamo mwaka 1922 na Papa Pius XI.[3]

  1. Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la VIII. 1916. uk. 301. Iliwekwa mnamo 15 Januari 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la X. 1918. uk. 349. Iliwekwa mnamo 15 Januari 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Florida International University website, The Cardinals of the Holy Roman Church, Biographical Dictionary, Pope Pius XI (1922-1939)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.