Nenda kwa yaliyomo

Bendera ya Sudan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:00, 24 Julai 2019 na CommonsDelinker (majadiliano | michango) (Replacing Flag_of_Sudan_(1956-1970).svg with File:Flag_of_Sudan_(1956–1970).svg (by CommonsDelinker because: File renamed: Correct hyphen to dash.).)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Bendera ya Sudan
Bendera ya Sudan kati ya 1956-1970
Bendera ya Sudan ya Kusini (SPLA)

Bendera ya Sudan imetumika tangu 20 Mei 1970. Ina milia mitatu ya kulala ya nyekundu, nyeupa na nyeusi pamoja na pembetatu ya kijani.

Rangi ya milia mitatu ni rangi za Umoja wa Waarabu ni sawa na bendera za Misri, Syria, Irak na Yemen. Pembetatu ya kijani inaonyesha rangi ya nne kati ya rangi wa Waarabu ni rangi ya Uislamu na mtume Mohamed.