Nenda kwa yaliyomo

Mto Keringa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:25, 3 Desemba 2018 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mto Keringa unapatikana Kenya. Ni tawimto la mto Sagana ambao unaingia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]