Fitbit Ace

4.0
Maoni 116
elfu 10+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Programu ya Fitbit Ace ndio msingi wako wa nyumbani kwa saa mahiri ya watoto ya Fitbit Ace LTE. Itumie kumpigia simu au kumtumia SMS mtoto wako kwa njia salama, kuona mahali alipo, kuangalia viwango vya shughuli zake na kudhibiti watu wanaowasiliana nao. Ikiwa umealikwa kama unayewasiliana naye, unaweza pia kutumia programu ya Fitbit Ace kupiga simu au kutuma ujumbe kwa usalama saa mahiri ya Fitbit Ace LTE ya mtoto. *Kifaa cha Fitbit Ace LTE kinahitaji mpango wa kulipia wa data wa Ace Pass. Baadhi ya vipengele vinapatikana kwa watoto walio na Akaunti ya Google inayosimamiwa pekee. Pata maelezo zaidi kuhusu faragha ya Fitbit Ace kwenye g.co/fitbitace/privacy
Ilisasishwa tarehe
17 Sep 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine8
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

3.9
Maoni 113

Mapya

Thanks for using the Fitbit Ace app. The official companion app to the Fitbit Ace LTE kids smartwatch.